JAGUAR AMCHANA TENA PREZZO KUHUSU KUNDI LAKE ALILOANZISHAPrezzo & Cannibal, wakali wanaolikamilisha kundi la MMG.
Moja kati ya Stori kubwa kwenye familia ya burudani 254 kenya kwa sasa, ni kuhusu staa wa single ya kigeugeu msanii Jaguar kuibuka tena na kumzungumzia hasimu wake CMB PREZZO, lakini sasa hivi amefunguka zaidi kuhusu kundi la MMG alilolianzisha Prezzo na kuungana na rappa mwenzake aitwae Cannibal.
Jaguar amesema “ni vizuri lakini mi sipendi jinsi wanavyomkopi Rick Ross na Cannibal kumkopi Lil Wyne, mimi ninaheshima sana kwa Cannibal ila alinistua sana kujiunga na kusainiwa na Prezzo, Cannibal ndio anatakiwa kumsain Prezzo na sio Prezzo kumsain Cannibal, Prezzo anapenda sana kukopi kwenye MMG yeye ni Birdman feki na Cannibali ni Lil Wyne, mimi ni rafiki sana na Cannibal na tunaongea kila siku ila amenishtua sana”Kuhusu BEEF yake na Prezzo, Jaguar amesema “siku hizi naona kama Prezzo ametulia, ameacha yale majigambo yake ya ajabu sasa sijui ni pesa imekwisha, ila namuombea vizuri afanikiwe na siwezi kumuombea aharibikiwe, kama ni muziki anafanya namtakia kila la kheri ila ajue tu always nitakua juu yake kimuziki, simchukii”

KULA TANO BROTHER...YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO


Hatimaye lile beef kati ya marapa wawili wakubwa,comon na drake limeisha na wawili hao wameonekana pamoja katika mechi ya NBA usiku wa kuamkia jana...inasemekana kwamba beef hilo lililoanzishwa na common katika wimbo wake wa ''sweet'' uliachiwa mwisho wa mwaka jana. na katika wimbo huo kuna mistari ambayo inayomdiss drake.Common alikaririwa akiongea katika vituo mbalimbali vya redio akisema,''the diss is to whom-ever the shoe fit,it could be drake''maaana yake anayejisikia kukivaa kiatu na avae,na yawezekana kuwa ni drake.Japo drake hakujibu chochote ila BirdmAn kiongozi wa kundi la CAsH MOnEY alikaririwa akisema hawako kwa ajili ya beef na hawajawahi kufanya beef kuuza music,ila kwa maamuzi yoyote atakayofanya drake wako tayari kwenda nae bega kwa bega...Common alikatririwa akisema kwamba beef hilo ni la kihip hop na hakukuwa naugomvi wowote kati yao na akaongezea kuwa anamkubali sana drake na mziki anaofanya...kama walivyoonekana pamoja katika maeneo mbalimbali siku za karibuni.

SUGUUUUUUU! Ngoma zake zaanza kulia Mjengoni....!

MADAKTARI WALIOGOMA KENYA WATUNGA WIMBO KUHAMASISHA WAGONJWA WASIENDE HOSPITALI!

.

Chinua ACHEBE Amkomalia 50 Cent mpaka amebadili Jina la Movie yake!!

Mwandishi Legendari wa vitabu Afrika CHINUA ACHEBE alimlazimisha Rapa maarufu wa Marekani 50 Cent kubadilisha jina alilotaka kutumia ktk filamu yake mpya "Things Fall Apart" ambalo ni jina la riwaya ya Mzee huyo, jina la riwaya ya Chinua Achebe limebamba mno kiasi cha kusomwa na kuuza zaidi ya nakala milioni 8 duniani kote.

Chinua Achebe baada ya kusikia juu wa ujio huo wa filamu ya Cent, timu yake ya kisheria ilimvaa mnyamwezi 50 Cent na jamaa akataka kama kulipa $ 1,000,000 ambazo Chinua Achebe alikataa na kuona kama anatukanwa!

Sasa 50 Cent amebadili jina la filamu hio na kuiita "ALL THINGS FALL APART" movie inayoelezea maisha juu ya mchezaji wa mpira wa miguu ambao ni kukutwa na kansa kisha mambo yote yanamwendea mrama

Ilivyokua Birthday yangu


 Nikimlisha keki Nellu
 Bash lee akinilisha keki

 Bash lee akinipa zawadi
Nikipokea zawadi kutoka kwa Ney,Liz na Pricillah

Flowers zilikuwepo kama kawaida
 Nasra and Fetty
 TBH ThE DoN nilikua nawasabahi waalikwa
 Fetty,Harrieth and Grace
 Fetty,Bash lee and Nellu
 Grace,Nellu,Harrieth and Fetty
 Me and Catty
Witness na Mwaija

Ndege wa ajabu

Kwa juu karibu na dish la Dstv akionekana uyo ndege wa ajabu akituonyesha kisogo
HAPPY BIRTHDAY HARIETH BARONGO
 BIRTHDAY GIRL
 DA KING
 CUTE BABY
 This guy is a don in town
Mzuka unapanda
Wana nao walikuwepo kama kawa
Kamakawa mwenyewe mtu mzima nilikuwepo pande zile