Hatimaye lile beef kati ya marapa wawili wakubwa,comon na drake limeisha na wawili hao wameonekana pamoja katika mechi ya NBA usiku wa kuamkia jana...inasemekana kwamba beef hilo lililoanzishwa na common katika wimbo wake wa ''sweet'' uliachiwa mwisho wa mwaka jana. na katika wimbo huo kuna mistari ambayo inayomdiss drake.Common alikaririwa akiongea katika vituo mbalimbali vya redio akisema,''the diss is to whom-ever the shoe fit,it could be drake''maaana yake anayejisikia kukivaa kiatu na avae,na yawezekana kuwa ni drake.Japo drake hakujibu chochote ila BirdmAn kiongozi wa kundi la CAsH MOnEY alikaririwa akisema hawako kwa ajili ya beef na hawajawahi kufanya beef kuuza music,ila kwa maamuzi yoyote atakayofanya drake wako tayari kwenda nae bega kwa bega...Common alikatririwa akisema kwamba beef hilo ni la kihip hop na hakukuwa naugomvi wowote kati yao na akaongezea kuwa anamkubali sana drake na mziki anaofanya...kama walivyoonekana pamoja katika maeneo mbalimbali siku za karibuni.
KULA TANO BROTHER...YALIYOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment