Mwandishi Legendari wa vitabu Afrika CHINUA ACHEBE alimlazimisha Rapa maarufu wa Marekani 50 Cent kubadilisha jina alilotaka kutumia ktk filamu yake mpya "Things Fall Apart" ambalo ni jina la riwaya ya Mzee huyo, jina la riwaya ya Chinua Achebe limebamba mno kiasi cha kusomwa na kuuza zaidi ya nakala milioni 8 duniani kote.
Chinua Achebe baada ya kusikia juu wa ujio huo wa filamu ya Cent, timu yake ya kisheria ilimvaa mnyamwezi 50 Cent na jamaa akataka kama kulipa $ 1,000,000 ambazo Chinua Achebe alikataa na kuona kama anatukanwa!

Sasa 50 Cent amebadili jina la filamu hio na kuiita "ALL THINGS FALL APART" movie inayoelezea maisha juu ya mchezaji wa mpira wa miguu ambao ni kukutwa na kansa kisha mambo yote yanamwendea mrama
No comments:
Post a Comment