G-UNIT

Kiongozi wa kundi la mziki wa Hip hop nchini Marekani G unit, 50cent amewahasa wanamuziki wenzake wa kundi hilo kuwa wasiwe wanajihusisha sana na masuala ya ngono,msanii huyo ambaye anatamba na album yake inayoitwa BEFORE I DESTRUCTE MY SELF ameyasema hayo wakati akihojiwa juzi na MTV
alisema yeye binafsi amejikita zaidi katika biashara na muziki.Msanii huyo alionekana akimsisitiza zaidi Lloyd Banks kuwa aachane na masuala ya wanawake na starehe.

No comments: