BONANZA LA SAFARI RADIO 89.9 FM

Pande za uwanja wa Nangwanda kulikuwa na bonge moja la Bonanza ambalo liliandaliwa na SAFARI RADIO ya hapa hapa Mtwara Town, kulikuwa na wasanii kibao mastaa wa Bongo. Nami nilifika maeneo hayo hili kwenda kushuhudia,eeebana eehee palikua hapatoshi cheki mwenyewe jinsi watu walivyokamua

No comments: